Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

WAZIRI UMMY AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU MLOGANZILA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila. Waziri Ummy ameyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara hospitalini hapa kwa lengo la kufahamu changamoto mbalimbali ambazo wagonjwa wanakutana nazo wakati wa kupatiwa huduma. Hatua […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

NAIBU BALOZI WA ISRAEL NCHINI EYAL DAVID ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Naibu Balozi wa Israel nchini mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Eyal David ameuomba  uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutoa ushirikiano kwa madaktari wa Israel watakaotembelea taasisi hiyo hivi karibuni ili kwa pamoja waweze kuainisha mahitaji yaliyopo katika kuboresha huduma za matibabu ya moyo. Akizungumza na wajumbe wa menejimenti wa […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

WATAALAMU WA MOYO NA WAZIBUAJI WA MISHIPA YA DAMU YA MOYO WA (JKCI) NA MWENZAO KUTOKA KAMPUNI YA MEDTRONIC WAZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO YA MGONJWA AMBAYO IMEZIBA KWA MUDA MREFU

Jumla ya wagonjwa 12 ambao mishipa yao ya damu ya moyo imeziba kwa muda mrefu (Total Chronic Occlusion – CTO) wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji unaohitaji utaalamu wa hali ya juu katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es Salaam Daktari mbobezi wa […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza kuwa katika miaka minne ya […]

HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA 2019 IMEOKOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 28 KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO KWA WAGONJWA 1873

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha mwaka mmoja  wa 2019 imeokoa zaidi ya shilingi bilioni 28 kwa kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 1873 . Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma za matibabu ya moyo zilizotolewa na Taasisi […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI JAKAYA MRISHO KIKWETE Kikwete Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

MADAKTARI KUTOKA NCHINI CHINA WANAOFANYA KAZI NCHINI WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA DAWA ZENYE THAMANI YA SH. 15 MILIONI KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetumia zaidi ya  shilingi bilioni 1.2 kwa mwaka 2019 kwa ajili ya kulipa gharama za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotoka katika familia maskini na  wasiokuwa na uwezo wa kulipia gharama hizo. Hayo yamesemwa  na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga wakati akizungumza na waandishi wa Habari mara […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

MUHIMBILI YAZINDUA ICU MBILI ZA WATOTO WACHANGA, ZAPUNGUZA VIFO KWA WATOTO

Tanzania ni nchi mojawapo duniani iliyofanikiwa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili na imesababisha kufikia mpango namba nne wa malengo ya millennia. Mafanikio haya yamekuja baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Tumaini la Maisha (TLM) kujenga ICU mbili za watoto wanaohitaji huduma za […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

MUHIMBILI IMEPIGA HATUA KUBWA UTOAJI WA HUDUMA ZA KISASA KWA GHARAMA NAFUU

Serikali imeendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya ambayo imepewa kipaumbele ili kuwawezesha wananchi kupata huduma zilizobora kama vile upatikanaji wa dawa, vipimo ambavyo vilikuwa vinapatikana nje ya nchi. Katika miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Hospitali ya Taifa Muhimbili imepiga hatu kubwa katika kutekeleza ya maagizo […]