IKULU IKULU DODOMA John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari TAKUKURU Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu Ziara za Makamu wa Rais Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BRIG. JEN. JOHN MBUNGO KUWA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

Rais  Dkt. John Magufuli  amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2018/19 na ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2018/19, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma. Hafla ya kupokea ripoti hizo imehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim […]

Dodoma Dodoma inajengwa IKULU JIJI LA DODOMA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makao Makuu Dodoma MAWASILIANO IKULU MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+

LIVE: HAFLA YA MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU – IKULU CHAMWINO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Machi, 2020 atapokea taarifa ya CAG ya mwaka 2018/19 na Taarifa ya TAKUKURU ya mwaka 2018/19 katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Tukio hili litarushwa mubashara kupitia Vyombo vya Habari kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Manfred Fanti na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yake na […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za uongozi pamoja na kuwa na   hofu ya Mungu bila kusahau kutanguliza Uzalendo katika kuhakikisha Tanzania inafikia malengo iliyojiwekea. Rais Magufuli Ameyasema hayo leo tarehe 3 Februari 2020 katika hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. “niwapongeze sana […]

IDARA YA HABARI MAELEZO IKULU JESHI LA ZIMA MOTO KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAGEREZA MAHAKAMA MAWASILIANO IKULU NAIBU WAZIRI WA NISHATI Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo  Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili […]

IDARA YA HABARI MAELEZO IKULU KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI Ziara za Rais Magufuli

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao A. MAKATIBU WAKUU 1. Bi. MARY GASPER MAKONDO – kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mary Gasper Makondo alikuwa Kamishna wa Ardhi katika Wizara […]

IKULU KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI

Rais  Dkt. John  Magufuli leo tarehe 31 Januari, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Wizara, Mahakama, Mikoa na Majeshi. Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi John Kijazi amewataja walioteuliwa kama ifuatavyo; Wizara. Rais Magufuli amemteua Bi. Mary Gasper Makondo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo […]

IKULU KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI Ziara za Rais Magufuli

LIVE: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anapokea hati za utambulisho wa Ubalozi kutoka katika Mabalozi wateule tisa (9) walioteuliwa na kuziwakilisha Nchi zao hapa Nchini. Wanaowasilisha ni pamoja na -: 1. Mhe. Maria Amelia Mario De Paiva – Balozi mteule wa Ureno nchini mwenye makazi yake Nchini Msumbiji 2. Mhe. […]