IKULU

RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NCHINI

Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI, NAMIBIA NA ZIMBABWE

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amerejea hapa nchini akitokea nchini Zimbabwe ambako amefanya Ziara Rasmi ya siku 3 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Kabla ya kufanya ziara nchini Zimbabwe, Mhe. Rais Magufuli amefanya ziara nchini Afrika Kusini ambako pamoja na kuhudhuria sherehe za uapisho wa …

Soma zaidi »