IKULU

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MTEULE GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Janeth Magufuli washiriki Ibada ya Kumsimika Askofu Mteule Gervace John Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya .Ibada inafanyika katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Soma zaidi »