Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI LEO AMETEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA MAALUMU YA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta Jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Wakati alipotembelea Ujenzi wa Nyumba ya Mhe.Kikwete inayojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMEMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBA MAALUMU ILIYOJENGWA NA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MSIKITI MKUU KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ametembelea Msikiti Mkuu uliojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mufti …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO FLYOVER JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sakafu ya pili (gorofa ya pili) ya barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya …
Soma zaidi »MRADI HUU NI MATOKEO CHANYA YA MIRADI INAYOFANYA NA SERIKALI – RAIS MAGUFULI
Muonekano wa jengo la kituo kipya cha mabasi wa mkoani linaloendelea kujengwa katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale mara baada ya kukagua …
Soma zaidi »MKE WA RAIS WA MALAWI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Afisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamary Bagenyi akitoa maelezo kuhusu sanaa za sasa kwa wake wa Marais wa Jamhuri ya Malawi na Tanzania walipotembelea Makumbusho ya Taifa Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Amandus Kweka akitoa maelezo kwa Wake wa Marais Malawi na Mama Monica Chakwera …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA TATU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi waliowasilisha hati zao za utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Mhe. David William Cancar (aliyeteuliwa kuwa Balozi wa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AZINDUA KANISA NA AFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI CHAMWINO, DODOMA
Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka “A” na kuzindua Kanisa, …
Soma zaidi »KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KINAENDELEA LEO, IKULU CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti …
Soma zaidi »