JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT JESHI LA POLISI JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM JESHI LA ZIMA MOTO KAMISHNA WA JESHI LA POLISI MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

JWTZ KUHAKIKI UPYA VIJANA WALIOKIUKA USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa. Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence Ilonda amebainisha kwamba katika uandikishaji […]

IKULU JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM JIJI LA DAR ES SALAAM John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU MKOA WA DAR ES SALAAM NAIBU WAZIRI BITEKO Rais Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI DOTTO BITEKO WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC MHE. THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI LEO

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi amemaliza Ziara ya Kitaifa ya siku 2 aliyoifanya hapa nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Mhe. Tshisekedi ameagwa na mwenyeji wake Mhe. Rais Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere […]

JESHI LA POLISI JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KAMISHNA WA JESHI LA POLISI MKOA WA PWANI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI

RC NDIKILO ARIDHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA 42 ZA ASKARI MKOANI PWANI AMBAZO ZITAGHARIMU SH.BIL. MOJA

Mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, ameridhishwa na ujenzi wa nyumba 42 za askari ambazo zipo kwenye hatua ya umaliziaji kwa kanda maalum ya kipolisi Rufiji na jeshi la polisi mkoani Pwani ambazo zitagharimu sh. bilioni moja. Aidha amewaasa wadau kushiriki kusaidia ujenzi wa makazi ya askari ili kutatua […]

JESHI LA POLISI JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM JESHI LA ZIMA MOTO Julius Nyerere International Airport KAMISHNA WA JESHI LA POLISI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI

WAZIRI LUGOLA AFANYA ZIARA TERMINAL III KUKAGUA JESHI LA POLISI,UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola leo Jumapili Juni 9, 2019 amefanya ziara katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere-JNIA (Terminal III), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuvikagua vyombo vyake (Jeshi la Polisi, Zimamoto na Uhamiaji), kabla ya Jengo jipya la uwanja huo halijafunguliwa rasmi.

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM JIJI LA DAR ES SALAAM JIJI LA MWANZA KIGOMA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA DAR ES SALAAM MKOA WA MWANZA MKOA WARUVUMA Tanzania MpyA+ UVUVI BAHARINI

SERIKALI KUFANYA MABADILIKO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA NYAVU BAHARINI

Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi lililohoji kuwa ni […]