BANDARI Bandari Dar es Salaam BANDARI YA TANGA IDARA YA HABARI MAELEZO JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+

MHANDISI KAKOKO: NCHI ZA SADC ZIIMARISHE NGUVU YA PAMOJA YA MIUNDOMBINU KUKUZA VIWANDA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuimarisha miundombinu ya Reli, Barabara, Bandari pamoja na Mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika Mataifa hayo. Aliyasema hayo leo Jumanne (Agosti 6, 2019) wakati wa mjadala […]

BANDARI Bandari Dar es Salaam BANDARI YA TANGA IDARA YA HABARI MAELEZO JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+

UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA

Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa magati hayo utakaogharimu takribani shilingi Trilioni moja utaiwezesha Bandari […]

JIJI LA DAR ES SALAAM KILIMO MKOA WA DAR ES SALAAM NAIBU WAZIRI KILIMO NAIBU WAZIRI WA KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KILIMO

NAIBU WAZIRI BASHE ATUA WIZARANI, WAZIRI WA KILIMO AGAWA MAJUKUMU

¬† Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 22 Julai 2019 ameongoza kikao kazi cha uongozi wa juu wa Wizara ya Kilimo ili kutoa taswira ya muelekeo wa Wizara hiyo. Kikao hicho kilichotuama kwa masaa kadhaa katika Ofisi ndogo za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mhe Hasunga, kimehudhuriwa […]

JAKAYA MRISHO KIKWETE JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASIFU MAONESHO YA 43 YA SABASABA JIJINI DAR

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete amezipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kwa maandalizi mazuri ya Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Julius Nyerere. Akizungumza¬† Jumamosi (Julai 6, 2019) mara baada ya kutembelea na kukagua […]

JIJI LA DAR ES SALAAM KILIMO MAZAO YA BIASHARA MKOA WA DAR ES SALAAM NAIBU WAZIRI KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KILIMO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

WAZIRI HASUNGA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MBOLEA YA TOPIC YA NCHINI MISRI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 5 Julai 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo Mhandisi Raouf amemueleza Mhe Hasunga kuwa lengo la […]