Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimu maafisa ugani pamoja na wanaushirika kabla ya kuanza kwa kikao maalum na maafisa hao kilichofanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma
Katika kikao hicho, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, maafisa ugani, na wanaushirika katika kuboresha sekta ya kilimo na kuinua uchumi wa taifa kupitia maendeleo ya kilimo nchini. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Kamati Ndogo ya Kilimo, Maliasili, Mazingira na Utalii chini ya Uongozi wa @dr_makame inaendesha vikao na wadau wa sekta hizo jijini Bujumbura Burundi Kamati hiyo inatazamia kuwa na kikao kama hicho tarehe 8 Februari jijini Dodoma -Tanzania #Nahayandiyomatokeochanya+
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Ziara Ya Bw Charles Kichere
Muonekano wa Jengo la Ofisi mpya za Wizara ya Habari, Mawasiliani na Teknolojia ya Habari lililopo katika Mji wa Serikali Mtumba.
Jengo wa Wizara ya Maji, katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma
MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
KIKAO CHA PILI CHA UJENZI WA MJI WA SERIKALI DODOMA
Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara zote wakifuatilia maelekezo yanayotolewa na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma na Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma Bwana Meshack Bandawe,(Hayupo Pichani) kuhusu utekelezaji wa Ujenzi wa ofisi za Wizara za ghorofa zinazojengwa kwa awamu ya pili katika Mji …
Soma zaidi »