Afya BIMA YA AFYA JIJI LA MWANZA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO (MAB) KWA TMDA, YATEMBELEA OFISI YA TMDA KANDA YA ZIWA

Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(MAB) imefanya ziara maalum na kujionea mambo mbalimbali ya utendaji kazi katika ofisi ya Kanda ya Ziwa ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA). Katika ziara hiyo, Bodi hiyo imeweza kujionea utendaji kazi za udhibiti wa ubora, usalama na ufanisi wa […]

JIJI LA MWANZA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI UENDE SAMBAMBA NA IDADI KUBWA YA KUWAWASHIA WATEJA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini(REA) pamoja na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kuwa kasi ya kuunganisha umeme Vijijini iende sambamba na kasi ya kuwawashia Umeme wateja katika Nyumba zao. Mgalu alisema hayo kwa nyakati tofauti alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika […]

IKULU JIJI LA MWANZA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU MKOA WA MWANZA Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI LENYE UREFU WA KM 3.2

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 na upana wa mita 28.45 ambalo litakalounganisha mawasiliano ya barabara kati ya Mikoa ya Mwanza na Geita kukatiza Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zimefanyika katika eneo la Kigongo, Wilaya ya […]