TAASISI Ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI,) imenunua mashine mbadala ya mapafu na moyo (Heart Lung machine,) Itakayotumika wakati wa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo yenye thamani ya shilingi 383, 596,000.
Soma zaidi »HAKIKISHENI WATOTO WANAPATA TIBA SAHIHI PINDI WANAPOUGUA – MTAALAMU KUTOA PASS
Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wameshauriwa kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu stahiki pindi watakapoonesha viashiria vyovyote vya ugonjwa. Wito huo umetolewa leo na kiongozi wa kikundi cha wanawake kutoka Taasisi binafsi ya kuwezesha sekta ya kilimo …
Soma zaidi »WATU 18 WAKUTWA NA SHINIKIZO LA DAMU, ZAIDI YA ASILIMIA 50 WANA UZITO ULIOPITILIZA, JUKWAA LA ONE STOP JAWABU – MBAGALA
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zenais Ngowi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu ya uelewa wa magonjwa ya moyo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo katika viwanja vya Mbagala Zakheem wilayani Temeke kupitia jukwaa la One Stop Jawabu ambapo Taasisi hiyo ilitoa bila malipo …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MUHAS YAANZISHA KLINIKI MAALUM KWA WAGONJWA WA SIKOSELI WANAOKABILIWA NA MAGONJWA YA MOYO
Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Kliniki maalum kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa sikoseli ambapo wanaokabiliwa pia na magonjwa ya moyo imeanzishwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kliniki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Pro. Mohamed Janabi amesema wameshirikiana na Chuo Kikuu …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO (JKCI) YAPOKEA MASHINE YA KUPIMA UMEME WA MOYO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimpulizia kisafisha mikono (hand sanitizer ) Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto Antke Zuechner wa Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda (Germany Society for tropical pediatrics) mara baada ya kumkabidhi msaada wa mashine ya kupima …
Soma zaidi »WANANCHI WAMESHAURIWA KUJENGA TABIA YA KUPIMA AFYA ZAO MARA KWA MARA
Wananchi wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara kwa kufanya hivyo watatambua kama wana maradhi au la na kama wana maradhi wataweza kupata huduma za matibabu kwa wakati. Pia wameombwa kuwa na bima ya afya ambazo zitawasaidia kupata matibabu pindi watakapouguwa kwani maradhi huja muda wowote, wakati …
Soma zaidi »KULINDA AFYA KWA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA, ULAJI UNAOFAA, KUFANYA MAZOEZI – PROF. JANABI
Kulinda afya kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha, ulaji unaofaa, kufanya mazoezi, kuchunguza afya mara kwa mara na kuepukana na mtindo usiofaa wa maisha, ni siri pekee itakayowawezesha Watanzania kufurahia ‘matunda’ Tanzania kuingia nchi zenye Uchumi wa Kati. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUWAJIBIKA, KUCHAPA KAZI
Waajiriwa wapya katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wametakiwa kuwajibika na kuchapa kazi kwa bidii ili kuendeleza juhudi za kuokoa maisha ya watu wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo wanaofika kupata matibabu katika taasisi hiyo.Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi alipokuwa akizungumza na waajiriwa wapya …
Soma zaidi »