IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Januari, 2020 amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwake Chato, Mkoani Geita. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli kesho ataanza ziara ya kikazi Visiwani Zanzibar ambako ataweka jiwe la msingi la jengo la Idara ya Usalama wa Taifa Zanzibar. Keshokutwa (11 Januari, 2020), Mhe. […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais RAIS DKT SHEIN Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI ATOA WITO KWA WATANZANIA KUANZISHA BUSTANI ZA WANYAMA

Rais Dkt. John  Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo – Mbinga), Dar es Salaam […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Mkoa wa Geita Rais Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AAGIZA UPANUZI HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO KUANZA MARA MOJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi huo. Mhe. Rais Magufuli ambaye hakufurahishwa na taarifa za viongozi […]

JIJI LA MWANZA John Pombe Joseph Magufuli KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UHURU NA UMOJA UHURU WA TANZANIA Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri  zinazotarajiwa kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella amesema kuwa maadhimisho hayo yatafanyika Disemba […]

Dodoma Dodoma inajengwa JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT JIJI LA DODOMA John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI ATOA SHILINGI BILIONI 10 KWA AJILI YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa shilingi Bilioni 10 kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma. Mhe. Rais Magufuli ametoa fedha hizo leo tarehe 25 Novemba, 2019 baada […]