IKULU IKULU DODOMA John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari TAKUKURU Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu Ziara za Makamu wa Rais Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BRIG. JEN. JOHN MBUNGO KUWA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

Rais  Dkt. John Magufuli  amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2018/19 na ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2018/19, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma. Hafla ya kupokea ripoti hizo imehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim […]

Dodoma Dodoma inajengwa IKULU JIJI LA DODOMA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makao Makuu Dodoma MAWASILIANO IKULU MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+

LIVE: HAFLA YA MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU – IKULU CHAMWINO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Machi, 2020 atapokea taarifa ya CAG ya mwaka 2018/19 na Taarifa ya TAKUKURU ya mwaka 2018/19 katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Tukio hili litarushwa mubashara kupitia Vyombo vya Habari kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.

JIJI LA DAR ES SALAAM KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MKOA WA DAR ES SALAAM Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WILAYA YA KIGAMBONI Ziara za Makamu wa Rais

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dsm.

John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAHAKAMA MUSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NCHINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA SHERIA NA KATIBA Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa katika kipindi cha miaka 4 iliyopita na ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha Mahakama inaboreshwa zaidi. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo tarehe 06 Februari, 2020 katika sherehe za kilele cha Wiki ya Elimu na Siku ya Sheria zilizofanyika katika ukumbi wa […]

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MUSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NCHINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA SHERIA NA KATIBA Ziara za Rais Magufuli

LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA (LAW DAY ) – JNICC DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Febuari, 2020 anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dsm.

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI WILBERT IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi (Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi wa Balozi Ibuge unaanza leo tarehe 06 Februari, 2020. Kabla ya uteuzi huo Balozi Ibuge alikuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Manfred Fanti na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yake na […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za uongozi pamoja na kuwa na   hofu ya Mungu bila kusahau kutanguliza Uzalendo katika kuhakikisha Tanzania inafikia malengo iliyojiwekea. Rais Magufuli Ameyasema hayo leo tarehe 3 Februari 2020 katika hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. “niwapongeze sana […]

IDARA YA HABARI MAELEZO IKULU JESHI LA ZIMA MOTO KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAGEREZA MAHAKAMA MAWASILIANO IKULU NAIBU WAZIRI WA NISHATI Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo  Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili […]