Afya BIMA YA AFYA JIJI LA MWANZA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO (MAB) KWA TMDA, YATEMBELEA OFISI YA TMDA KANDA YA ZIWA

Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(MAB) imefanya ziara maalum na kujionea mambo mbalimbali ya utendaji kazi katika ofisi ya Kanda ya Ziwa ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA). Katika ziara hiyo, Bodi hiyo imeweza kujionea utendaji kazi za udhibiti wa ubora, usalama na ufanisi wa […]

JIJI LA MWANZA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI UENDE SAMBAMBA NA IDADI KUBWA YA KUWAWASHIA WATEJA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini(REA) pamoja na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kuwa kasi ya kuunganisha umeme Vijijini iende sambamba na kasi ya kuwawashia Umeme wateja katika Nyumba zao. Mgalu alisema hayo kwa nyakati tofauti alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika […]

Afya BIMA YA AFYA JIJI LA MWANZA KWETU MWANZA NYEGEZI MKOA WA MWANZA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

KITUO CHA AFYA KOME KUPATIWA X-RAY YA KIDIGITALI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameahidi kuwapatia mashine ya x-ray ya kisasa ya kidigitali kituo cha afya kome kilichopo halmashauri ya Buchosha wilayani Sengerema. Waziri Ummy ametoa ahadi hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi kisiwani hapo ya kujionea hali ya utoaji huduma za afya. “Ninawaahidi wananchi nitaleta x-ray […]