Makamu wa Rais

WAZIRI JAFO ATAKA MACHINJIO YA KISASA YA KIZOTA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZAO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 8, 2021 alipofanya ziara ya kikazi katika machinjo hiyo kwa ajili …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOA HOFU KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA INAPITA WAKATI MGUMU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe …

Soma zaidi »

WAITARA AWATAKA NEMC KUFANYA UTAFITI NA KUDHIBITI KUONGEZEKA KWA KINA CHA MAJI YA MAZIWA MKOANI SINGIDA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara (katikati) akiwa katika kikao na maafisa mazingira (hawapo pichani) kutoka Wilaya na Manispaa ya Singida kwa lengo la kuwapa maelekezo mbalimbali. Wengine kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha, Mkuu wa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu …

Soma zaidi »

NEMC YAONYWA KUTOKUWA KIKWAZO KATIKA UTOAJI WA VIBALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kutokuwa kikwazo katika utoaji wa vibali vya mazingira kwa wawekezaji katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Amesema hayo hii leo alipokuwa akizungumza na Menejimenti na wafanyakazi …

Soma zaidi »