Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika siku yake ya pili ya kikao Kazi kinachoendelea leo Disemba 11, 2020 …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MENEJMENT NA IDARA YA MAZINGIRA KIKAO KAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAKANDARASI WANAWAKE NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekipongeza Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania kwa kuweza kuunda umoja huo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wadogo wadogo wanaomalizi vyuo hivi sasa. Amesema ni vyema kuwa na mkakati wa kuweza kuendesha Jumuiya hiyo vizuri ili wengi waweze …
Soma zaidi »KUBORESHWA KWA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO KUTAWAONGEZEA WIGO WA BIASHARA
Na. Jovina Bujulu-MAELEZO Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli amezindua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa mwezi Oktoba, ambapo alichaguliwa kuiongoza nchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Katika hotuba yake ya uzinduzi, Rais Magufuli alionyesha dira, falsafa, mwelekeo …
Soma zaidi »UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO
Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …
Soma zaidi »“TULINDE TABAKA LA OZONI” – MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachewene akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni akimuwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho haya yamefanyika Jijini Dodoma na yameenda sambamba na utoaji wa zawadi kwa washindi wa …
Soma zaidi »UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUZALISHA AJIRA 10,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora kwa kazi nzuri inayofanywa na Tume hiyo kwa kuweza kutatuwa Changamoto mbalimbali za Wananchi na kuweza kupata Haki zao pale wanapozulumiwa. Makamu wa Rais amesema hayo leo alipokutana …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKAGUA MAGARI YALIYOTAIFISHWA NA AAGIZA YAGAWANYWE SERIKALINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Agosti, 2020 amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi, na kisha kuhifadhiwa katika kituo cha mabasi cha zamani Jijini Dodoma. Sehemu ya magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwabaada ya kuhusika katika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ABADILISHA AHADI KUWA VITENDO NDANI YA MIAKA MITANO YA UONGOZI WAKE
Na,ZYNABU ABDULMASOUDI, DODOMA. Kuna usemi wa Kiswahili unaosema ahadi ni deni,ukimaanisha kuwa unapoweka ahadi huna budi kuitimiza. Ahadi iliyowekwa na Rais Dk.John Magufuli wakati wa kampeni zake za kugombea Urais miaka mitano iliyopita ikiwemo ya kutoa elimu bila ya malipo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi kidato cha nne …
Soma zaidi »