Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

NAIBU WAZIRI NDITIYE AELEKEZA SHIRIKA LA POSTA KUFANYA KAZI KIDIJITALI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kufanya kazi kidijitali kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhandisi Nditiye amesisitiza kuwa wafanyakazi wa […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NEC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WAZIRI MKUU SOKOINE WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA HATUA ZA UJENZI WA JENGO LA NEC DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametembelea na kukagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedenwa Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa. Alikagua mradi huo, Januari […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 8.7 KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA

Serikali imepokea gawio na michango ya Sh. bilioni 8.7 kutoka kwa baadhi ya Mashirika, Kampuni na Taasisi za Umma, ikiwa zimebaki siku 15 kati ya siku 60 zilizotolewa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, za kuzitaka Taasisi, Kampuni na Mashirika hayo kutoa gawio kwa Serikali. Gawio hilo limepokelewa na Waziri wa Fedha na Mipango, […]

Dodoma Dodoma inajengwa Elimu ELIMU BURE Elimu Mtandaoni ELIMU YA MSINGI TANZANIA ELIMU YA SEKONDARI TANZANIA JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA ELIMU YA UFUNDI

RC MAHENGE ATAKA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA WARIPOTI SHULENI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameziagiza halmashauri nane za¬†Mkoa wa Dodoma kusimamia na kuhakikisha wanafunzi wote elfu 33,803 waliofaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti shuleni na kuanza masomo ifikapo Januari 6 mwaka huu. Dkt. Mahenge ametoa kauli hiyo januari 3 kwenye kikao kazi cha Watendaji na Wasimamizi […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Madini Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NAIBU WAZIRI WA MADINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MADINI

KUNA VISHAWISHI VINGI KWA WATUMISHI MADINI – WAZIRI BITEKO

Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kuna vishawishi na majaribu mengi kwa watumishi wa wizara ya Madini na Taasisi zote za chini ya wizara ya madini kutokana na wadau wake wengi ni wenye fedha nyingi hivyo ni rahisi kuwashawishi kwa rushwa na kupelekea mtumishi kufanya maamuzi yasiyo na maadili akisema pia wapo watu wanaowachonganisha watumishi […]

Dodoma JIJI LA DODOMA Madini Makao Makuu Dodoma NAIBU WAZIRI WA MADINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MADINI

NAUMIA SANA KUONA BIDHAA AU KITU CHOCHOTE KINACHOHUSIANA NA SEKTA YA MADINI KIKIINGIZWA KUTOKA NJE – WAZIRI BITEKO

Upungufu wa madini ya Chumvi kwenye viwanda vya chumvi hapa nchini unamsikitisha waziri wa madini Doto Biteko kutokana na uwepo wa mahitaji (soko) makubwa ya wanunuzi wa madini hayo huku madini hayo yakiwa hayapatikani kwa wingi kutosheleza mahitaji kutokana na uzalishaji mdogo kutoka kwa wachimbaji wa madini hayo huku wanunuzi wakikosa madini hayo. Akiongea leo […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

DOKTA KIJAJI AKITAKA CHUO CHA MIPANGO KUFANYA UTAFITI WA UMASIKINI NA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMMA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kutafiti kwa kina namna wananchi wanavyoweza kuondokana na umasikini wa kipato pamoja namna Miradi mbalimbali ya Serikali inavyoweza kutekelezwa kwa ufanisi na kwa kuzingatia thamani ya fedha kuliko ilivyo sasa. Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo wakati akiwatunuku astashahada na […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA ARIDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

SEKTA YA ARDHI YATAKIWA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO NCHINI

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya amezitaka idara mbalimbali za Serikali kuipa kipaumbele sekta ya ardhi katika mipango ya maendeleo inayofanyika nchini. Eng. Stellah Manyanya ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano mkuu wa sita wa Mwaka wa Wataalaamu wa Mipangomiji ulioanza tarehe 27 hadi 29 Novemba 2019 jijini Dodoma. Eng. Stellah Manyanya amesema, […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UWEKEZAJI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

TAASISI NNE ZATII AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUZITAKA KAMPUNI, TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA KUTOA GAWIO NA MICHANGO SERIKALINI NDANI YA SIKU 60

Siku moja baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa muda wa siku 60 kwa wenyeviti wa bodi na watendaji wa Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma yanayomilikiwa na Serikali kwa asilimia 100 pamoja na yale ambayo Serikali ina hisa kutoa gawio na michango yao kwenye mfuko Mkuu wa Serikali lasivyo wangepoteza nyadhifa zao, taasisi […]

Dodoma Dodoma inajengwa JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT JIJI LA DODOMA John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+ WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI ATOA SHILINGI BILIONI 10 KWA AJILI YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa shilingi Bilioni 10 kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma. Mhe. Rais Magufuli ametoa fedha hizo leo tarehe 25 Novemba, 2019 baada […]