TATHMINI YA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI TANZANIA CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Miradi ya kimkakati nchini Tanzania, chini ya Serikali ya Awamu ya Sita, inaleta mabadiliko makubwa na matokeo chanya katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hapa ni tathmini fupi ya maendeleo ya miradi hiyo: Daraja la Kigongo – Busisi Mafanikio, Mradi umefikia asilimia 75 ya utekelezaji, ukionyesha maendeleo makubwa. Ujenzi wa …
Soma zaidi »MRADI WA KONGANI YA KISASA YA VIWANDA (MODERN INDUSTRIAL PARK) KATIKA ENEO LA MLANDIZI.
Mwekezaji KAMAKA COMPANY LIMITED wa Tanzania, anawekeza kwenye mradi wa KONGANI YA KISASA YA VIWANDA (MODERN INDUSTRIAL PARK) inayoendelea kujengwa katika eneo la Mlandizi, Wilaya ya Kibaha, Mkoani wa Pwani. Mradi una kubwa wa ekari 1077 na ni eneo la kimkakati! #Matokeochanya+
Soma zaidi »MAFANIKIO YA SEKTA YA UJENZI KATIKA MKOA WA ARUSHA
Sekta ya Ujenzi imepata mafanikio makubwa katika Mkoa wa Arusha. Kupitia juhudi zilizofanywa na Serikali kupitia TANROADS, kumekuwa na maboresho makubwa katika miundombinu ya barabara na madaraja. Kulingana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Mha. Reginald R. Massawe, kumekuwa na ongezeko la kilometa 53 za barabara za lami, ambapo …
Soma zaidi »HISTORIA FUPI YA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA AWAMU YA PILI, HAYATI MZEE ALI HASSAN MWINYI.
Ali Hassan Mwinyi (8 Mei 1925 – 29 February 2024) alikuwa Rais wa pili wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 1990 hadi 1996. Kabla ya hapo alikuwa Rais wa …
Soma zaidi »UCHORONGAJI VISIMA VYA JOTOARDHI KUANZA APRILI 2024
kazi ya uchorongaji wa visima vya Jotoardhi nchini Tanzania itaanza mwezi Aprili mwaka huu ili kuweza kuhakiki rasilimali ya Jotoardhi iliyopo kabla ya kuanza kwa shughuli za uzalishaji umeme. Serikali tayari imeshatenga fedha kwa ajili ya kuendeleza vyanzo vya Jotoardhi na kwamba kampuni ya KenGen mwezi Aprili mwaka huu itakuwa …
Soma zaidi »JE UNAIJUA JUMUIYA YA MADOLA?
Malengo na lengo kuu la Jumuiya ya Madola: Kulinda mazingira na kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali asilia kwenye ardhi na baharini. kukuza biashara na uchumi. kusaidia demokrasia, serikali, na utawala wa sheria. kukuza jamii na vijana, ikiwa ni pamoja na usawa wa jinsia, elimu, afya na michezo.
Soma zaidi »“Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini?”
Malkia Elizabeth II pamoja na mawaziri wake wakuu wa Jumuiya ya Madola mwaka 1962. Picha: Alamy Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini? Katika mkutano wa mwaka 1926, Uingereza na Himaya zake zilikubaliana kwamba wote walikuwa wanachama sawa wa jamii ndani ya Himaya ya Kiingereza. Wote walikuwa wana wajibu …
Soma zaidi »#LIVEDAY2: JUKWAA LA KODI NA UWEKEZAJI 2024
HISTORIA YAANDIKWA; JNHPP YAINGIZA MEGAWATI 235 GRIDI YA TAIFA.
✔️Serikali yatekeleza ahadi kabla ya siku tatu ✔️Megawati 235 nyingine kuingizwa Machi, 2024 ✔️Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ✔️Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa ✔️Mkandarasi apongeza usimamizi wa Dkt.Biteko
Soma zaidi »