MAWASILIANO IKULU

Sote ni mashahidi wa namna lugha ya Kiswahili imeendelea kukua kwa kasi – Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Jamii kubadili fikra kwa kuchunguza na kufikiria jinsi ya kutumia vipengele mbalimbali vya lugha ya Kiswahili na Utamaduni wake kama bidhaa ya biashara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Chama …

Soma zaidi »

Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …

Soma zaidi »

LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE

Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii;   …

Soma zaidi »