MAZINGIRA

WAZIRI UMMY MWALIMU KUSIMAMIA MASUALA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YANAYOGUSA MAISHA YA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Menejimenti ya Ofisi yake (hawapo pichani) mara baada kupokelewa rasmi katika Ofisi za Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA APIGA MARUFUKU UOKOTAJI WA CHUPA ZA PLASTIKI DAMPO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa  kuanzisha programu maalumu ya kutoa …

Soma zaidi »

WAZIRI ZUNGU: MAPATO YA MFUKO WA MAZINGIRA YAAINISHWE KWENYE SHERIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema ipo haja ya kuanisha vyanzo vya mapato ya mfuko wa mazingira kwenye sheria ili kuongeza wigo katika usimamizi wa mazingira. Zungu amesema hayo leo alipokutana na wadau wa mazingira kutoka Jukwaa la Kilimo pamoja …

Soma zaidi »

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya Ziara katika eneo la Machinjio ya Vingunguti pamoja na eneo la mtaa wa Songas lililopo Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, yenye lengo la ukaguzi wa Mazingira katika  maeneo hayo. Katika Mradi wa Machinjio ya …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ATAKA KUFANYIKA TATHMINI KATIKA MAENEO YOTE YA MIGODI NA WACHIMBAJI WADOGO ILI KUBAINI KIWANGO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 6 Juni, 2020 amekutana na Viongozi na Watumishi Waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage uliopo katika Jengo la …

Soma zaidi »