IKULU JAKAYA MRISHO KIKWETE Kassim Majaliwa KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU Mhe. Samia Suluhu Hassan OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais RAIS DKT SHEIN Rais Live Rais Mstaafu RAIS MSTAAFU MKAPA Tanzania MpyA+ TASAF Waziri Mkuu Ziara za Makamu wa Rais Ziara za Rais Magufuli

JUHUDI ZA KUKABILIANA NA UMASIKINI HAPA NCHINI IKIWEMO MPANGO WA TASAF ZIMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli  tarehe 17 Februari, 2020 amezindua kipindi cha 2 cha awamu ya 3 ya mpango wa kunusuru kaya masikini wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III), katika ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi huo zimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. […]

JAKAYA MRISHO KIKWETE Kikwete Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI Ziara za Makamu wa Rais

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta amani katika maeneo yenye migogoro Barani afrika hususani katika Nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuipunguzia Tanzania mzigo wa wakimbizi ulioubeba kwa muda mrefu hivi sasa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania […]