“Nawaomba wananchi wa Morogoro na Watanzania kwa ujumla kutambua kwamba maendeleo haya ni sehemu ya mkakati wetu wa kujenga Tanzania ya viwanda na yenye uchumi imara.” @SuluhuSamia
Soma zaidi »Mtalii Raia wa Sweden Avutiwa na Ubora wa Treni ya Kisasa ya SGR Nchini Tanzania
“Ni treni ya kisasa kabisa na tunajisikia vizuri (‘comfortable’) kutumia aina hii ya usafiri. Ina mwendo wa kasi iko ‘comfortable’ na ina huduma nzuri wakati wa safari. Kitu kizuri na cha kufurahisha zaidi, ni treni nzuri zaidi kuzidi hata zile za kwetu nyumbani Ulaya ( Sweden) treni hii ni nzuri …
Soma zaidi »WANANCHI WA MOROGORO WAFURAHIA MAENDELEO YA MRADI WA TRENI YA SGR
Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wameelezea furaha yao kuhusu maendeleo ya mradi wa treni ya kisasa (SGR). Wamesifu jitihada za serikali katika kutekeleza mradi huo, ambao utafungua fursa nyingi za kiuchumi na kijamii katika mkoa wao na nchi kwa ujumla. Wameeleza kuwa treni ya SGR itarahisisha usafiri wa abiria na …
Soma zaidi »WANANCHI WATOA SHUKURANI KWA SERIKALI KWA MAENDELEO YA SGR NA UJENZI WA SOKO KUU LA CHIFU KINGALU
Wananchi wa Morogoro wameonyesha shukurani zao kwa serikali kwa juhudi za maendeleo, hasa katika ujenzi wa reli ya SGR na soko kuu la Chifu Kingalu. Ujenzi wa SGR umeleta matumaini mapya kwa wananchi kwa kuboresha miundombinu na usafiri, hivyo kurahisisha shughuli za kibiashara na kuongeza fursa za ajira. Aidha, ujenzi …
Soma zaidi »“MKAWE WAADILIFU NA MKISHI KIAPO HIKI, KINA MAANA KUBWA SANA KATI YENU NA MUNGU NA WANANCHI.”
KIAPO; Ukila KIAPO… 1. MUNGU ANAKUSHUHUDIA! 2. MAMLAKA ZINAKISHUHUDIA! 3. WANANCHI WANAKUSHUHUDIA! 4. KIAPO UKIKIDHIHAKI, KITAKUPIGA! 🇹🇿Rais Dkt Samia akiwaasa viongozi kuhusu KIAPO walichoapa mbele yake.
Soma zaidi »FAIDA ZA SGR KWA UCHUMI WA TANZANIA, SEKTA YA USAFIRISHAJI, NA AJIRA.
SGR ina uwezo wa kubeba hadi tani 10,000 za mizigo kwa mara moja. Hii inamaanisha inaweza kusafirisha mizigo mikubwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa. Ina kasi ya hadi kilomita 160 kwa saa kwa treni za abiria na kilomita 120 kwa saa kwa treni za mizigo. Kasi hii inafanya iwezekane kusafirisha …
Soma zaidi »SGR; MRADI WA KIMKAKATI WA KUBORESHA UCHUMI WA TANZANIA NA KUSUKUMA MAENDELEO
SGR itapunguza muda wa safari kwa abiria kati ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza, hivyo kuboresha urahisi wa kusafiri na kuhamasisha biashara na utalii. Kupunguza Gharama za Usafirishaji Reli hii itawezesha usafirishaji wa mizigo kwa haraka na kwa gharama nafuu ikilinganishwa na barabara. Hii itasaidia wafanyabiashara kupunguza …
Soma zaidi »BARABARA KUU NA ZA VIJIJINI MJINI KATAVI ZIMEKARABATIWA NA KUJENGWA UPYA
Barabara kuu na za vijijini zimekarabatiwa na kujengwa upya, hivyo kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa. Hii imeongeza shughuli za kiuchumi na kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu kwa wananchi.
Soma zaidi »Maendeleo Ya Huduma Za Kijamii Zafufua Tumaini Jipya Mkoani Katavi..
Maendeleo ya huduma za kijamii yameleta matumaini mapya kwa wakazi wa mkoa wa Katavi. Huduma hizi zimeboreshwa kwa kiwango kikubwa, na kufanikisha uimarishaji wa miundombinu ya afya, elimu, na maji safi, ambayo imekuwa ni changamoto kwa muda mrefu katika mkoa huu. 1.Sekta ya Afya Hospitali ya mkoa wa Katavi imeboreshwa …
Soma zaidi »Maendeleo Makubwa ya Afya Katika Mkoa wa Katavi, Hospitali ya Mkoa Yazidi Kung’ara
Mkoa wa Katavi umepiga hatua kubwa katika sekta ya afya kupitia hospitali yake ya mkoa. Hospitali ya Mkoa ya Katavi imekuwa kielelezo cha maendeleo na mafanikio katika utoaji wa huduma bora za afya kwa wakazi wa mkoa huo. Miongoni mwa maboresho yaliyotekelezwa ni pamoja na upanuzi wa miundombinu ya hospitali, …
Soma zaidi »