Bandari Dar es Salaam BANDARI YA TANGA MAZAO YA BIASHARA MJI WA SERIKALI MKOA WA PWANI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI SERIKALI SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania ina ukanda mkubwa wa ufukwe […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma Mawaziri MJI WA SERIKALI MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI MPYA ZA WIZARA YA NISHATI, MTUMBA, DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ofisi mpya za Wizara ya Nishati na Wizara nyingine zilizopo Mtumba jijini Dodoma ili kuona kama lengo la Serikali la kutoa huduma kwa wananchi katika eneo hilo limefanikiwa. Waziri Mkuu alifanya ziara hiyo tarehe 23 Aprili, 2019 ambapo aliambatana na Waziri […]