LAND ROVER YA MBAO YA WADUDU WA CHUGA YAVUTIA WENGI
Land Rover ya Wadudu wa Chuga imevutia umati mkubwa kwenye #ArushaLandRoverFestival2024. Tukio hili lilifanyika kuadhimisha urithi wa kipekee wa Land Rover na mchango wake katika sekta ya magari duniani. Land Rover maarufu ya “Wadudu wa Chuga,” gari la kipekee linalotumiwa na wenyeji wa maeneo ya Arusha, liliwashangaza wengi kutokana na …
Soma zaidi »Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024.
Soma zaidi »MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
NAIBU WAZIRI SILINDE AIPONGEZA WILAYA YA ARUMERU KWA UJENZI WA MADARASA
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Silinde (Mb) ameipongeza wilaya ya Arumeru pamoja na Halmashauri zake mbili za Meru Dc na Arusha Dc kwa kazi ya ujenzi wa madarasa pamoja na usimamizi madhubuti wa fedha za Umma za miradi ya EP4R Mhe Silinde ambae amefanya ziara leo Tarehe …
Soma zaidi »RC ARUSHA APONGEZA KAMPENI YA UJENZI WA MADARASA ARUMERU
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta amempongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru na uongozi mzima wa halmashauri ya Meru, na Halmashauri ya Arusha Dc kwa hatua nzuri waliyofikia katika ujenzi wa madarasa. Kimanta ambae amefanya ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa ujenzi wa madarasa katika halmashauri …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWAONYA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kali kwa wataalamu wa ununuzi na ugavi ambao bado wanaendekeza vitendo viovu kama rushwa, upendeleo, kuingilia michakato ya ununuzi kwamba waache mara moja kwani Serikali haitomhurumia yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumatano, Desemba 2, 2020) alipofungua Kongamano …
Soma zaidi »RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE AMEWATAKA VIJANA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUZICHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO
Rais Mstaafu ,Dkt Jakaya Kikwete amewataka vijana wa jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika jumuiya ya Afrika mashariki na kuweza kuzichangamkia fursa zilizopo.Aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa vijana wa jumuiya ya Afrika mashariki (YouLead)uliofanyika mkoani Arusha. Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akipiga selfie na Vijana na …
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA YATIA SAINI MKATABA WA HGA NA WAWEKEZAJI WA MRADI WA EACOP.
Na.Vero Ignatus Arusha. Majadiliano ya kutia saini mkataba wa nchi hodhi baina ya Total na Serikali ya Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa EACOP umefanyika leo Jijini Arusha katika hotel ya Grad melia. Utiaji wa saini wa makubaliano ya awali ya Afrrika ya mashariki (EACOP )kati ya serikali ya …
Soma zaidi »SERIKALI KUIIMARISHA TRC KWA KUNUNUA MABEHEWA MENGINE 800 YA MIZIGO, 37 YA ABIRIA NA VICHWA 39 VYA TRENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni …
Soma zaidi »