WAMACHINGA – TUPO TAYARI KUPANGWA KWENYE MAENEO RASMI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo September 16 amefanya kikao Cha pamoja na uongozi wa Machinga Mkoa wa Dar es salaam kuhusu njia Bora ya Kuwapanga Machinga Jijini humo. Katika kikao hicho Uongozi wa Machinga umepongeza hatua ya RC Makalla kutumia njia ya shirikishi Jambo lililotoa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …
Soma zaidi »DAR ES SALAAM SASA WANAJARIBU MAJI, WANAJARIBU KINA CHA MAJI – RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar leo tarehe 08 Aprili 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi »DKT. NCHEMBA: TUTABORESHA MASUALA YA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA SERIKALI
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wafanyabiashara hapa nchini kuwa Wizara yake itahakikisha inarejesha taswira na mahusiano mazuri nao katika masuala yakodi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kusisimua uchumi wa nchi. Dkt. Nchemba alitoa ahadi hiyo Ikulu …
Soma zaidi »DC KINONDONI AANZA ZIARA YA KATA KWA KATA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi kata kwa kata Katika kata mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi. Akiongea mara baada ya kusikiliza kero za Wananchi Katika kata …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DSM KUAGA MWILI YA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja …
Soma zaidi »UJENZI WA DARAJA LA TANZANITE WAFIKIA ASILIMIA 70.6 JIJINI DAR ES SALAAM
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu. Excavator ikishushwa chini ya sakafu ya bahari kwa ajili ya kazi ya kuchimba katika muendelezo wa kazi za …
Soma zaidi »