MKOA WA DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo …

Soma zaidi »

DKT. NCHEMBA: TUTABORESHA MASUALA YA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA SERIKALI

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wafanyabiashara hapa nchini kuwa Wizara yake itahakikisha inarejesha taswira na mahusiano mazuri nao katika masuala yakodi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kusisimua uchumi wa nchi. Dkt. Nchemba alitoa ahadi hiyo Ikulu …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA USHONAJI BOHARI KUU YA JESHI LA POLISI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI KUTOA TAARIFA

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watendaji wa Serikali kutoa taarifa za utendaji wa Serikali katika maeneo yao, sambamba na vyombo vya habari kutoandika habari zisizo za ukweli. Rais Magufuli, ameyasema hayo leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI – TRA JIREKEBISHENI KWA KUTENDA HAKI KWA WAFANYABIASHARA

Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa. wa Lumumba jijini Dar es salaam kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Soma zaidi »