Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) Elirehema Kaaya amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo zinatumika kikamilifu ikiwa ni pamona na kubana mianya yote ya ubadhirifu inayoweza kujitokeza. Aliyasema hayo jijini Dar es …
Soma zaidi »DC CHONGOLO ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA STANDI YA DALADALA MWENGE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amesema kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Stendi ya kisasa ya Daladala ya Mwenge inayojengwa kwa kiasi cha Shilingili Bilioni tano fedha zinazotokana na makusanyo ya ndani ya Manispaa hiyo. Chongolo ametoa kauli hiyo leo wakati alipofanya ziara yake ikiwa ni muendelezo …
Soma zaidi »SERIKALI YAOMBOLEZA KIFO CHA MZEE MKAPA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea jijini Dar es Salaam na ametoa pole kwa familia kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Serikali. “Ndugu wanafamilia, kwa niaba ya Mheshimiwa Rais …
Soma zaidi »UFUNGAJI WA SCANNER KUBWA YA KISASA AFRIKA INAYOTUMIA MIONZI KUKAGUA MIZIGO INAYOPITA BANDARI YA DSM, WARIDHISHA
Jengo la kuendeshea mitambo na udhibiti midaki (Scanner) kubwa na ya kisasa Afrika ya kukagua mizigo inayopita katika Bandari ya Dar Es Salaam, lilivyoonekana wakati wa ziara Wajumbe wa Kamati ya usimamizi wa Mradi wa uboreshaji wa Taasisi za usimamizi wa Rasilimali Asilia na Ukusanyaji wa Mapato (PSC) unayofadhiliwa na …
Soma zaidi »NENDENI MKAZINGATIE VIAPO VYENU – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi waliapishwa kuzingatia viapo vyao katika kufanya kazi zao, Rais amesema hayo wakati akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Idd Kimanta aliyemteua hivi karibuni, Ikulu jijini Dar Es Salaam. Rais amesema kuwa anasikitishwa kuona watu aliowateua, kuwaapisha na kuwaamini kwa niaba ya watanzania hawafanyi …
Soma zaidi »UJENZI WA DARAJA LA NEW SELANDER WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 35
Muonekano wa sasa wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa daraja la New Selander ambapo ujenzi wake umefikia zaidi ya % 35.
Soma zaidi »