Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makamu wa Rais Makao Makuu Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Tanzania MpyA+ Ziara za Makamu wa Rais

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MKOA DODOMA, MZAKWE MAKUTOPORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za Misitu TFS Kanda ya kati Dodoma Bibi Tebby Yoramu kufuatilia Utafiti wa Udongo kwenye eneo la Mzakwe Makutopora Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipofanya Ziara ya kushtukiza kuona maendeleo ya ukuaji […]

Bunge Bunge La Tanzania Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma Mhimili wa Bunge MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Ni mkutano wa 16 wa Bunge la 11, kikao cha tatu unaendelea katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wanaulizwa maswali na kuyatolea majibu kuhusiana na masuala mbalimbali.

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+

UJENZI WA STENDI, SOKO NA ENEO LA KUPUMZIKIA JIJINI DODOMA KUKAMILIKA DISEMBA 30 MWAKA HUU.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma dkt Binilith Mahenge amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya uendelezaji miji mkakati(TSCP) inayotekelezwa jijini Dodoma ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia asilimia 75. Akizungumza leo agosti 30 baada ya kukagua ujenzi wa miradi hiyo ambayo ni eneo la kupumzikia, soko na stendi ya kimataifa dkt Mahenge amesema […]