MKOA WA LINDI

PIKIPIKI ZILIZOTELEKEZWA KWA MIAKA MITATU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua pikipiki zilizotelekezwa kwenye stoo ya Wakala wa Maji na usafi na Mazingira Vijijini, Mkoa wa Lindi, alipofanya ziara katika ofisi zao. Pikipiki hizo zilinunuliwa mwaka 2021 kwa ajili ya kuzigawa kwa Jumuiya za Watumiaji maji Mkoa wa Lindi.

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI KWA JESHI LA POLISI MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari kutoa huduma katika maeneo ya mkoa huo. Amekabidhi magari hayo jana (Jumapili, Februari 21, 2021) baada ya kuzungumza na wananchi katika kituo cha Polisi Mtama ambako makabidhiano hayo yalifanyika. Magari …

Soma zaidi »

WAZIRI KAMWELWE ATENGUA NAFASI ZA MAMENEJA WA TANROADS MKOA WA PWANI NA LINDI

Lori la mizigo likipakia mawe katika eneo la Kilanjelanje mkoani Lindi tayari kwaajili ya kusafirishwa kuelekea jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametengua nafasi ya Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Pwani na Lindi kutokana na kutoridhishwa na usimamizi na …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI ACHANGIA SHILINGI MILIONI TANO KWA SHULE YA MSINGI SOMANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Jogoo alilopewa na Mzee Shaweji Mohamed Kimbwembwe mkazi wa Somanga mkoani Lindi ambaye alifurahishwa na utendaji kazi wa Mhe. Rais Magufuli wa kuwaletea maendeleo Wananchi wanyonge Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John …

Soma zaidi »