MKOA WA NJOMBE

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI UJENZI AAGIZA KIPANDE CHA BARABARA NJOMBE -MORONGA KIKAMILISHWE IFIKAPO MWEZI OCTOBA MWAKA HUU

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara …

Soma zaidi »