Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo na Miundombinu kwa kufanya upanuzi wa Hospital za wilaya za Sumbawanga Bilioni 13.7, Ujenzi wa vituo vya Afya 21 na zahanati 30 kwa gharama ya bilioni 9.4, Elimu ya ngazi chini shule mpya za msingi …
Soma zaidi »MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
MA – DC MKOANI RUKWA KUSIMAMIA TATHMINI YA MWAKA WA MTOTO JANUARI 2021
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiwaonesha Mkakati wa miaka mitano wa Kupambana na Mimba za Utotoni katika Mkoa kwa wadau waliohudhuria kwenye uzinduzi wa mradi wa kuzuia ndoa na mimba za utotoni kabla ya kuzindua mradi huo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa. …
Soma zaidi »RUKWA WAZINDUA MSIMU WA KILIMO HUKU ZAIDI YA TANI MILIONI 1.5 ZA MAZAO ZIKITEGEMEWA KUZALISHWA 2020/2021
Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi, wakulima wa Mkoa wa Rukwa leo tarehe 19.11.2020 wameshuhudia uzinduzi wa msimu wa kilimo wa mwaka 2020/2021 katika hafla fupi iliyofanyika katika Kata ya Ntendo, Manispaa ya Sumbawanga. Uzinduzi huo uliofanywa na mgeni rasmi wa hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa …
Soma zaidi »RC WANGABO AINGILIA KATI UJENZI WA STENDI KUU YA MABASI SUMBAWANGA BAADA YA KUONA UNASUASUA
Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo (katikati) alipotembelea Stendi kuu ya Mabasi Sumbawanga ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa stendi,Kulia ni mkurugenzi wa Sumry Enterprises Ltd Humud Sumry pamoja na Meneja TARURA Manispaa ya Sumbawanga Mhandisi Suleiman Mziray Baada ya kuona ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Sumbawanga …
Soma zaidi »WANANCHI WAUSIWA KUTUNZA AMANI WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA SIO KUVUNJA UDUGU
Wananchi Mkoani Rukwa wameusiwa kuendelea kuitunza amani katika kipindi chote cha kampeni wakati tukielekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika siku ya Jumatano tarehe 28.10.2020 utakaowapa nafasi ya kuwachagua Madiwani katika ngazi za Kata, Wabunge katika ngazi za Majimbo pamoja na kumchagua Rais wa nchi ya Tanzania. Usia huo umetolewa na Mkuu …
Soma zaidi »MAKAMISHNA WA ARDHI WATAKIWA KUKUTANA NA TAASISI ZINAZODAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula alitoa agizo hilo jana …
Soma zaidi »MIRADI YA ULGSP YAWA KIVUTIO KWA WAGENI KATIKA MJI WA SUMBWANGA
Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji …
Soma zaidi »