MKOA WA SIMIYU

MIFUMO YA FEDHA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI NI MUAROBAINI WA RUSHWA

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, Simiyu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Uzinduzi  wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja  vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUFUNGUA MAONYESHO YA NANE MKOANI SIMIYU

Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya mapema tarehe 29 Julai, 2020 ametembelea Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu na baadae alielekea katika Viwanja vya Nyakabindi. Katibu Mkuu Kusaya aliekea katika Viwanja vya Nyakabindi ili kujionea na kukagua maandalizi ya eneo la maonyesho ikiwa ni pamoja na kujionea …

Soma zaidi »