Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

TANZANIA YAPIGA HATUA KUGUNDUA WAGONJWA WA TB

Serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imeweza kupiga hatua kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kugundua wenye kifua kikuu(TB) nchini kwa ongezeko la asilimia 18. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Leonard Subi wakati akifungua kikao cha mapitio na tathimini wa mpango wa taifa wa […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

ISRAEL YAKABIDHI RASMI KITENGO CHA HUDUMA YA TRAUMA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Serikali ya Israel imeikabidhi rasmi Tanzania Kitengo cha Magonjwa ya Dharura na Majeruhi (TRAUMA UNIT) kilichopo katika Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dodoma Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dodoma baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge na Naibu Balozi wa Israel nchini Tanzania, Eyal David baada ya kumaliza kuweka miundombinu, vifaa […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo chini ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zinatakiwa kujitazama na kushauriana kuhusu mwenendo wao wa uchumi badala ya kuyaachia Mashirika ya Kimataifa pekee. Rai hiyo imetolewa Jijini Dodoma wakati wa Mkutano kati yake na Ujumbe […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA SHERIA NA KATIBA

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua Jengo la kisasa lililojengwa kwa kutumia teknologia ya moladi Wilayani Kondoa Akiwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa alisema miundo mbinu bora na ya kisasa katika muhimili wa Mahakama inawezesha mazingira tulivu ya uwekezaji na ukuaji […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA

Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa kipengele cha Hati inayoridhisha kwenye Ukaguzi wa Hesabu kwa kuwa ni matakwa ya Viwango vya kimataifa vya uandaaji wa Taarifa za Fedha. Hayo yamesemwa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akijibu […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YATAKIWA KUJIUNGA NA TIBA MTANDAO

Hospitali ya Benjamin Mkapa imetakiwa kujiunga na tiba mtandao ili kuweza kutoa tiba kwa wagonjwa kwa haraka na kwa ufanisi ili kuwapunguzia wagonjwa muda wa kusubiri majibu hususani ya mionzi Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipoitembelea hospitali hiyo kujionea hali ya utoaji huduma. […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

SERIKALI KUIPATIA BILIONI MBILI KCMC KWA AJILI YA JENGO LA MIONZI

  Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuipatia kiasi cha shilingi bilioni mbili hospitali ya rufaa ya kanda KCMC ili kuweza kutoa huduma za tiba za mionzi hospitalini hapo. Hayo yamesemwa ┬ána Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akijibu maswali kwa […]