Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

WAZIRI UMMY AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU MLOGANZILA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila. Waziri Ummy ameyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara hospitalini hapa kwa lengo la kufahamu changamoto mbalimbali ambazo wagonjwa wanakutana nazo wakati wa kupatiwa huduma. Hatua […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza kuwa katika miaka minne ya […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

ALIYELAZWA MWAKA MMOJA MLOGANZILA APATIWA MASHINE YA KUPUMUA

Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, imempatia msaada wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) Bw. Hamad Awadhi kutokana na matatizo yake ya afya ambayo yanamlazimu kutumia mashine ya oxygen muda wote ili aweze kupumua. Akikabidhi msaada huo Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-MNH-Prof. Charles Majinge amesema hospitali imempatia msaada Bw. Awadhi kwa […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

MLOGANZILA YAFANYA UPASUAJI MKUBWA WA KUONDOA VIVIMBE KWENYE UBONGO

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa vivimbe katika mishipa ya damu kwenye ubongo (cerebral aneurysms) kwa mgonjwa aliyekywa akisumbuliwa na tatizo hilo. Kufanyika kwa upasuaji huu ni hatua ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano ya kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi […]