Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge MRADI WA UMEME VIJIJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA NISHATI

KAMATI YA BUNGE YATOA MAONI KUHUSU MKATABA WA UMEME JUA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wametoa maoni mbalimbali kwa Wizara ya Nishati, kuhusu kuanzishwa kwa ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA). Walitoa maoni hayo Dodoma, Novemba 12, 2019 wakiwa ni sehemu ya wadau wa sekta husika ili kuboresha Mkataba huo kabla haujawasilishwa kwa Bunge la Jamhuri ya […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

HATUTAONGEZA MUDA – DKT KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amekataa maombi ya mkandarasi kampuni ya KEC International Ltd kutoka India, anayetekeleza mradi wa kupanua kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu, mkoani Dodoma, kuongezewa miezi mitatu zaidi ili akamilishe kazi hiyo. Badala yake, Dkt Kalemani amemtaka Mkandarasi huyo kukamilisha kazi husika na kuikabidhi kabla ya Januari 28, mwakani kama […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

BODI YAWEKA KUSUDIO KUMFUTIA MKATABA MKANDARASI WA REA

Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeweka kusudio la kufuta mkataba mmojawapo wa mkandarasi anayetekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Mtwara na sehemu ya Mkoa wa Tanga, ambaye ni muunganiko (JV) wa kampuni za Radi Services Ltd, Njarita Contractors Ltd & Aguila Contractors Ltd. Kusudio hilo liliwekwa bayana mbele ya waandishi wa habari na Mwenyekiti wa […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

BODI YATOA TATHMINI KUHUSU UTEKELEZWAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI MOROGORO

Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Oktoba 25, mwaka huu ilikabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Olesanare, taarifa ya tathmini kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani humo, baada ya ziara yao ya siku mbili. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Styden Rwebangila, alisema, ripoti waliyoikabidhi kwa Mkuu […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA PURA KWA KUOKOA TSHS BILIONI 10 ZA PSAs

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA)  kwa kuokoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.08 kutokana na kaguzi za gharama na mapato ya mikataba ya  Mafuta na Gesi Asilia nchini (PSAs). Pongezi hizo wamezitoa tarehe 25 Oktoba, 2019 wakati wa kikao baina ya […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari TANESCO Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

KASI YA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI TANGA YAIRIDHISHA BODI

Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REB) imekiri kuridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa wakandarasi Derm Electrics (T) Ltd na JV Radi Services Ltd, Njarita Contractors Ltd & Aguila Contractors Ltd; wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo, Oktoba 23, mwaka huu, Mwenyekiti wa Kamati […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MIRADI YA KIMKAKATI YA UMEME ITAKAYOFIKISHA MW 10,000 MWAKA 2025 YATAJWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dkt Tito Mwinuka ameeleza kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inalenga kutimiza adhma ya Serikali ya kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka 2025. Taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo ameitoa tarehe 23/10/2019 katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

REA KUTOA VYETI MAALUM KWA WAKANDARASI MAHIRI

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), itatoa vyeti maalum kwa wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini, watakaokamilisha kazi kwa wakati na viwango stahiki, ili kuwapa motisha na utambuzi utakaowapa sifa ya kupewa tenda nyingine mbalimbali na Serikali. Hayo yalibainishwa Oktoba 22, 2019 jijini Tanga, na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakurugenzi […]

Mkoa wa Geita MRADI WA UMEME VIJIJINI MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA TANESCO CHATO, GEITA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Tanesco katika Wilaya ya Chato na Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita zitakazokuwa na hadhi ya kimkoa ya Kitanesco. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 15 Oktoba, 2019 katika Kitongoji cha Mlimani, wilayani Chato ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

DKT.KALEMANI AMSIMAMISHA KAZI ALIYESABABISHA UMEME KUKATIKA KWA UZEMBE

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amemsimamisha kazi kwa uzembe, Mhandisi Samson Mwangulume wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) baada ya umeme kukatika kutokana na hitilafu iliyotokea katika Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo, Jijini Dar es salaam. Umeme huo ulikatika usiku wa Octoba 03, 2019 na kusababisha Mkoa wa Dar es […]