GESI ASILIA NCHINI MAFUTA NA GESI ASILIA MKOA WA MTWARA MTWARA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MRADI WA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI MKOANI MTWARA KUOKOA MAZINGIRA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kuwa, mradi wa matumizi ya gesi majumbani ambao utazinduliwa hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara utasaidia kuepuka matumizi ya mkaa ambao licha ya kuharibu mazingira, husabisha maradhi mbali mbali. Alisema hayo, Septemba 14, 2019 kwa nyakati tofauti wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, alipokuwa akizungumza na wananchi katika vijiji […]

Miradi ya Rasilimali za Maji MKOA WA LINDI MKOA WA MTWARA MTWARA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Wizara ya Maji

TATIZO LA MAJI NANDAGALA LAWA HISTORIA

Wananchi washangilia, waishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma CHANGAMOTO ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama iliyokuwa inawakabili wananchi wa vijiji vya Nandagala ‘B’ na Ingawali wilayani Ruangwa imekuwa historia baada ya Ubalozi wa Uturiki kupitia taasisi yake ya Diyanet kuwachimbia visima virefu. Visima hivyo viwili vimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Jumatatu, Juni […]

MAFUTA NA GESI ASILIA MKOA WA LINDI MKOA WA MTWARA MTWARA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WABUNGE WA LINDI NA MTWARA WATOA HOJA KATIKA WARSHA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA ILIYOSINDIKWA (LNG)

Hoja  1. Fidia kwa wananchi Ufafanuzi wa Serikali Fidia ni haki, ni stahiki na ni jambo la kisheria. Kama Serikali, hatuwezi kulipindisha. Tunachofanya ni kujihakikishia kwamba watakaofidiwa ni wale tu wanaostahili kweli. Kutokana na umuhimu wa jambo hili, lazima lifanyike kwa umakini sana. Ipo hatari ya kulipa haraka-haraka, kisha wakajitokeza watu zaidi ya uliowalipa na […]