Bunge Bunge La Tanzania Madini Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA MADINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA MADINI

BUNGE KUHARAKISHA UANZISHWAJI SHERIA BODI YA WANAJIOSAYANSI NCHINI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesema litaharakisha Mchakato wa Uanzishwaji Sheria ya Bodi ya Usajili wa Wanajiosayansi nchini ikiwemo kuishauri Serikali na kueleza kuwa, ni fursa nzuri ya kusimamia rasilimali madini na itapunguza hasara kwa wadau. Kauli hiyo iliyotolewa Januari 23, jijini Dodoma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

STAMICO HII HAIWEZI KUFUTWA – KAMATI YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma imesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) haliwezi kufutwa tena kutokana na mwenendo wa sasa kuridhisha kutokana na utendaji wake na kubadili mtazamo wa awali. Kubadili kwa mtazamo huo kunatokana na mwenendo wa awali kutoridhisha katika utendaji wake hali iliyopelekea baadhi ya wabunge kutaka Shirika hilo […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA NISHATI

BUNGE LARIDHIA MKATABA WA UANZISHWAJI USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA NISHATI JUA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA), katika Mkutano wake wa Kumi na Saba, Novemba 14, 2019 Dodoma. Awali, akiwasilisha Azimio la Bunge kwa ajili ya kuridhia Mkataba huo, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani alieleza kuwa Bunge linaombwa kuridhia Mkataba husika, […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge MRADI WA UMEME VIJIJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA NISHATI

KAMATI YA BUNGE YATOA MAONI KUHUSU MKATABA WA UMEME JUA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wametoa maoni mbalimbali kwa Wizara ya Nishati, kuhusu kuanzishwa kwa ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA). Walitoa maoni hayo Dodoma, Novemba 12, 2019 wakiwa ni sehemu ya wadau wa sekta husika ili kuboresha Mkataba huo kabla haujawasilishwa kwa Bunge la Jamhuri ya […]