Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makamu wa Rais Makao Makuu Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Tanzania MpyA+ Ziara za Makamu wa Rais

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MKOA DODOMA, MZAKWE MAKUTOPORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za Misitu TFS Kanda ya kati Dodoma Bibi Tebby Yoramu kufuatilia Utafiti wa Udongo kwenye eneo la Mzakwe Makutopora Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipofanya Ziara ya kushtukiza kuona maendeleo ya ukuaji […]

IKULU KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Ziara za Makamu wa Rais Ziara za Rais Magufuli

LIVE:UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI, IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha Fedha na Mali. Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga anawasilisha taarifa ya utekelezaji huo kwa Mhe.Rais Ikulu Jijini Dar es salaam.Septemba 30,2019