OFISI YA RAIS UTUMISHI

WAZIRI MCHENGERWA AELEKEZA KUWASHUSHA VYEO MAAFISA UTUMISHI WALIOSHINDWA KUTEKELEZA AGIZO LA KUWAPANDISHA VYEO WATUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ufuatiliaji ili kuwashusha vyeo Maafisa Utumishi katika Taasisi za Umma walioshindwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hasssan la kuwapandisha vyeo watumishi wenye sifa za kupanda madaraja. Mchengerwa …

Soma zaidi »

MCHENGERWA AZITAKA TAASISI ZA KIFEDHA KUTOA MIKOPO KUPITIA HATIMILIKI ZINAZOTOLEWA NA MKURABITA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezitaka taasisi za kifedha nchini kutoa mikopo kwa wananchi wenye hatimiliki za kimila zinazotolewa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) ili kuwawezesha wananchi hao kuendesha shughuli zao na …

Soma zaidi »

NDEJEMBI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKURABITA NA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA

Mratibu wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe akieleza utekelezaji wa mpango huo kwa Naibu Waziri ,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi wakati alipowatembelea katika ofisi zao viwanja vya nane nane nzuguni Dodoma ili kujitambulisha na …

Soma zaidi »

WATUMISHI HOUSING YATAKIWA KUTUMIA ‘FORCE ACCOUNT’ KATIKA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA

Na James Mwanamyoto – Dar es SalaamWatumishi Housing Company imetakiwa kuacha kuendelea kutumia Wakandarasi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za kuwauzia na kuwapangisha Watumishi wa Umma na badala yake watumie ‘force account’ ili kuokoa gharama na kujenga nyumba ambazo watumishi wataweza kupanga na kuzinunua. Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi …

Soma zaidi »