Kiwanda cha kuchakata bidhaa za ngozi cha Karanga kinatarajiwa kuzalisha ajira 3000 katika fani mbalimbali nchini mara baada ya kukamilika ujenzi wa jengo la kuchakata bidhaa za ngozi lililo katika hatua za mwisho. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA BARABARA YA MATEMWE -MUYUNI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 iliyojengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kutoka China kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48 zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). “Barabara hii ni kiungo muhimu kwa wananchi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA – UBORA WA MIRADI ULINGANE NA THAMANI YA FEDHA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini lazima isimamiwe vizuri ili kuhakikisha inakuwa na viwango vinavyoendana na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali. “Maelekezo ya Serikali kwenye maeneo yote muhimu ya miradi isimamiwe kwa kina na hasa thamani ya fedha na viwango vya ujenzi wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SAFARI ZA MV MBEYA II
Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI WA AMCOS MBINGA WAKAMATWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakikishe anawakamata viongozi wa AMCOS kwa tuhuma za kutoa fedha za wanachama na kuwapa madiwani ili wakawashawishi madiwani wenzao wakubali kubadilisha eneo la ujenzi wa ofosi za Halmashauri ya Wilaya …
Soma zaidi »MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 4, 2021 amezindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkoani Ruvuma. Pia, Waziri Mkuu alikagua nyumba 7 za Wakuu wa Idara za Halmashauri ya Mji wa Mbinga zilizojengwa na Serikali kwa gharama ya sh. Milioni 321.771. Nyumba za Wakuu wa Idara …
Soma zaidi »HAMASISHENI WANANCHI KUJIUNGA NA CHF – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ahakikishe anawahamasisha wananchi wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kuwa na uhakika wa kupata matibabu. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuwa na huduma ya bima ya afya ya Taifa, …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJIMALI YA WATU WENYE ULEMAVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na Ndg. Galus Buriani (aliyekaa wenye ulemavu) wakati wa ziara yake ya kutembelea vikundi vya watu wenye ulemavu ambavyo vinajihusisha za shughuli za uzalishajimali na kuona namna walivyonufaika na mikopo inayotolewa na serikali …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja la (Kigongo – Busisi) Mkoani Mwanza. Daraja hilo linaurefu wa kilomita 3.2 na barabara unganishi kilomita 1.66 na linagharimu shilingi bilioni 699.2
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AWAASA WAFANYAKAZI OSHA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) pamoja na wajumbe wa meza kuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Mkutano wa Baraza hilo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, …
Soma zaidi »