Kassim Majaliwa PROF. PARAMAGAMBA KABUDI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA UNHCR

Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) katika kutatua changamoto zinazotokana na uwepo wa wakimbizi nchini pamoja na kutafuta suluhu ya kudumu kwenye nchi zao ili wakimbizi hao waweze kurejea makwao kuendelea na shughuli za maendeleo Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo (Ijumaa, Agosti […]

IKULU Kassim Majaliwa MAWASILIANO IKULU PROF. PARAMAGAMBA KABUDI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TICAD7- YOKOHOMA, JAPAN IKITOA DOLA BILIONI 20 KUSAIDIA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA

Japan imetangaza kutenga kiasi cha dola za kimarekani bilioni 20 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha Nchi hizo kutekeleza miradi ya kimkakati ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi katika Bara la Afrika huku Tanzania ikikazia mkakati wake wa uchumi wa viwanda. Waziri Mkuu wa Japan, Mhe. Shinzo Abe […]

Imani Tanzania PROF. PARAMAGAMBA KABUDI Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Agosti kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa¬†7 wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development-TICAD 7) utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Agosti 2019. Mkutano huu wa Saba utatanguliwa […]

IDARA YA HABARI MAELEZO PROF. PARAMAGAMBA KABUDI SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

PROF KABUDI: TUENDELEE KUSHIKAMANA KUJENGA JUMUIYA IMARA KWA MASLAHI YA WANANCHI WETU

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Prof. Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushikamana katika Umoja na Mshikamano baina yao ili kujenga Uchumi imara na kuleta Maendeleo ya wananchi wake. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa nafasi hiyo leo Jijini Dar es […]