IKULU John Pombe Joseph Magufuli Kikwete KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live Rais Mstaafu Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORDIC NA AFRIKA

Rais Dkt. John Magufuli amezishukuru nchi za Nordic kwa uhusiano na ushirikiano wake mzuri na nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na ametoa wito kwa nchi hizo kujielekeza zaidi katika ushirikiano wa kiuchumi. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 08 Novemba, 2019 alipohutubia Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na […]

African-Nordic John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Nordic Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS MAGUFULI: SISI TUNAUWEZO, FURSA NA MAZINGIRA YA KUINGIA KWENYE USHIRIKIANO MADHUBUTI WA KIUCHUMI

Mustakabali wa Taifa letu hauwezi kuwa na maana sana, endapo taifa letu litaendelea kuwa tegemezi kiuchumi. Pamoja na uhusiano mzuri na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Nordic, bado tuna fursa ya kuukuza uhusiano wetu na kuupa msukumo mpya ili kuleta manufaa makubwa zaidi kwa pande zetu mbili. Na suala […]

IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA FINLAND, UMOJA WA ULAYA NA RWANDA

Rais Dkt. John ¬†Magufuli amepokea hati za utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini Mhe. Manfred Fanti, Balozi wa Finland hapa nchini Mhe. Riitta Swan na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Mej. Jen. Charles Karamba, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mhe. Rais Magufuli baada ya kuwasilisha hati zake za […]

Kassim Majaliwa KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu Ziara za Rais Magufuli

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI AZERBAIJAN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha na Taasisi na Wizara husika ili waweze kuwekeza mitaji yao kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Ametoa agizo hilo jana (Alhamisi, Oktoba 24, 2019) baada ya kugundua uwepo wa wafanyabiashara wengi wa Urusi wanakusudia […]