IKULU John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais RAIS DKT SHEIN Rais Live Rais Mstaafu Rais Wa Zanzibar SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Ziara za Makamu wa Rais Ziara za Rais Magufuli

KISWAHILI LUGHA YA NNE RASMI KWA NCHI ZA SADC

Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli unaofanyika […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MAPINDUZI YA ZANZIBAR Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

WAJUMBE WA BODI ZANZIBAR WAIPONGEZA MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi wakati akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao wamefanya ziara ya siku moja […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MAPINDUZI YA ZANZIBAR MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ ZANZIBAR

BALOZI IDDI ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA OFISI ZA SERIKALI YA ZANZIBAR DODOMA

Makamuwa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi ameoneshwa na kutembelea eneo ambalo zitajengwa Ofisi za Serikali hiyo eneo la Mahoma Makulu Jijini Dodoma. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Balozi Iddi ambaye aliambatana na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali, alishukuru Serikali […]

IDARA YA HABARI MAELEZO MAPINDUZI YA ZANZIBAR Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR

MAWAZIRI BARA, ZANZIBAR WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar¬† Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo ili kuongeza tija. Uwekaji wa […]

MAPINDUZI YA ZANZIBAR RAIS DKT SHEIN Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ ZANZIBAR

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA

Uongozi wa Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) umetakiwa kuandaa programu maalum ya mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya Viongozi, Watendaji Wakuu na Watumishi wengine wa Serikali. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyasema hayo […]

MAPINDUZI YA ZANZIBAR Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ ZANZIBAR

SMZ YAJIPANGA KUJENGA MIJI MIPYA YA KISASA KATIKA SHEHIA ZA KWAHANI, CHUMBUNI NA BUBUBU

Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud ameelezea kuridhishwa kwake na jinsi Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanavyotafuta na kutumia fursa zilizopo kushajihisha maendeleo ya jamii nchini Akizungumza na ujumbe wa Watanzania wanaoishi nje ya nchi wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza la Watanzania wanaoishi nje ya nchi (TDC Global) Norman Jasson ofisini kwake […]

JIJI LA MBEYA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MKOA WA IRINGA Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari TAMISEMI Tanzania MpyA+ ZANZIBAR

WAZIRI JAFO AKABIDHI BIL 1.7 RUZUKU KWA VIJANA TOKA USAID

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo ¬†amekabidhi hundi za mfano zenye thamani ya Tsh 1,731,038,850 kwa Taasisi tisa za vijana wa Mikoa ya Mbeya, Iringa pamoja na Zanzibar kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye viwanja vya Sido Jijini Mbeya. Akizungumza katika hafla hiyo Waziri Jafo amesema Ruzuku […]