MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MKUTANO WA TUME YA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA UGANDA WAANZA DAR ES SALAAM

  Mkutano wa tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda, umeanza leo Septemba 3, 2019 jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku tatu pamoja na mambo mengine, unatarajiwa kupokea taarifa ya Wizara ya Nishati ya Tanzania kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Mkutano wa Pili wa Tume husika, […]

MKOA WA MOROGORO MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme SUA MOROGOGO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME DUNDUMWA KILOSA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kitongoji cha Dundumwa, Kijiji cha Ludewa Batini, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo lilifanyika Agosti 27 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme pamoja na kuzungumza na wananchi. Akiwa amefuatana na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja […]

MKOA WA RUKWA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

VIONGOZI WA VIJIJI NA HALMASHAURI WATAKIWA KUTENGA FEDHA ZA KUUNGANISHA UMEME

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaagiza viongozi wa Serikali za Vijiji na Halmashauri kote nchini, kutenga  fedha kwa ajili ya kulipia gharama za kuunganisha umeme kwenye  Taasisi za Umma na hivyo kuboresha huduma za kijamii katika maeneo yao. Alitoa agizo hilo Agosti 26, 2019, akiwa katika Kijiji cha Mkinga na Mkomolo wilayani Nkasi Mkoa […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Rais Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI JULIUS NYERERE KATIKA MAPOROMOKO YA MTO RUFIJI UNAOTEKELEZWA NA SERIKALI ULIASISIWA NA BABA WA TAIFA MWAKA 1975

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Tano inatekeleza kwa vitendo Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere katika Maporomoko ya Mto Rufiji unaojulikana kama Julius Nyerere HydroPower Project ambao uliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere mnamo mwaka 1975. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti […]

Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa inayojengwa eneo la Stesheni jijini […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI YAJA NA MRADI MPYA WA UMEME

Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imezindua rasmi mradi mpya wa umeme unaolenga kupeleka nishati hiyo katika maeneo yaliyoko pembezoni mwa miji. Waziri mwenye dhamana ya sekta hiyo, Dkt Medard Kalemani, kwa nyakati tofauti wiki hii, amezindua mradi husika unaojulikana kwa jina la kigeni kama ‘Peri-Urban’ katika Wilaya tofauti za Mkoa wa Pwani na kubainisha kuwa […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UJENZI WA STIEGLER'S GORGE UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

FUAD: TUKO TAYARI KUPOKEA NAKUSAFIRISHA MIZIGO NA VIFAA VYA UJENZI MRADI WA UMEME RUFUJI.

Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini Tanzania, Fuad Abdallah amasema kuwa Serikali ya jamuhuri […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la kizalendo. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Julai 24, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro na […]