Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imesaini hati ya Makubaliano na Kampuni ya FREMU ya nchini Uingereza ili lkuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania kuuza bidhaa zao katika soko la Uingereza kupitia Mtandao wa Kampuni ya FREMU.

Makubaliano hayo yamesainiwa na Mkurugenzi wa TANTRADE Bi Latifa Khamis na Mkurugenzi wa Kampuni ya FREMU Ndugu David Mukisa. Kampuni hiyo inauza bidhaa za vyakula katika soko la Uingereza kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Uganda, Kenya, Nigeria, Ghana na Rwanda. Kufuatia makubaliano yaliyosainiwa leo, bidhaa za wafanyabiashara wa Tanzania …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda  mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »