Kamati Ndogo ya Kilimo, Maliasili, Mazingira na Utalii chini ya Uongozi wa @dr_makame inaendesha vikao na wadau wa sekta hizo jijini Bujumbura Burundi Kamati hiyo inatazamia kuwa na kikao kama hicho tarehe 8 Februari jijini Dodoma -Tanzania #Nahayandiyomatokeochanya+
Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA YA KILIMO, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA YA KILIMO, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
WAZIRI MKENDA AWATAKA WADAU WA NDIZI KUCHANGAMKIA FURSA
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) akizungumza wakati wa akifungua mkutano wa wadau wa zao la ndizi Kanda ya Kaskazini uliofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Septemba 25, 2021. Waziri wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda, amewataka wadau wa zao la ndizi nchini ikiwemo wawekezaji kuchangamkia frusa ya kuzalisha …
Soma zaidi »WAZIRI NDAKI ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, AGAWA ENEO KWA WAFUGAJI
Na. Edward Kondela Serikali imekabidhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza eneo lenye ukubwa wa Hekta 6,000 lililotolewa kwa wananchi wa vijiji vya Mpeta na Chakuru ili ligawiwe kwa wananchi hao kwa ajili ya shughuli za ufugaji baada ya mgogoro wa muda mrefu wa wananchi hao kuvamia Hifadhi ya Ranchi …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATOA ELIMU YA CHANJO KWA WAFANYAKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)
Serikali imeandaa mpango wa jamii shirikishi na harakishi wa utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO – 19 kwa kuwafuata wananchi wanaohitaji huduma ya chanjo mahali walipo ili kuongeza kasi na kuwapa wananchi nafasi ya kuchanja. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid …
Soma zaidi »BANDARI YA MTWARA KUTIMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO – WAZIRI MKENDA
Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda pamoja na Naibu Waziri, Hussein Bashe wakiwa wameongozana na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakikagua utayari wa bandari ya Mtwara kuelekea kuanza msimu wa uuzwaji wa korosho ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni wakati wa ziara ya Waziri Mkenda bandarini hapo, …
Soma zaidi »PROF MKENDA ATAKA MIKAKATI UBANGUAJI KOROSHO KUFIKIA 60% IFIKAPO 2025
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki …
Soma zaidi »