WIZARA YA KILIMO

LUTEN JENERALI YACOUB AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA KILIMO CHA MPUNGA KATIKA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA CHITA

Na. Sajini Mbwana Khalfan Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yacoub Mohamed amefanya ziara ya kikazi na kutembelea mradi mkubwa wa kimkakati wa kilimo cha Mpunga katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa Chita, Wilayani Kilombero mkoani Morogoro tarehe 12 Februari 2021. Mradi …

Soma zaidi »

WAZIRI NDAKI AAGIZA KUKAMATWA MARA MOJA WATUHUMIWA 67 WA UTOROSHAJI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameliagiza jeshi la polisi nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo, kuwasaka na kuwamakata mara moja watuhumiwa 67 wa utoroshaji wa mifugo na mazao yake. Waziri Ndaki amebainisha hayo leo (26.01.2021) mjini Dodoma, katika ofisi za Wizara ya Mifugo …

Soma zaidi »

MAUAJI YA MKULIMA YAWE MWISHO – WAZIRI NDAKI

Na. Edward Kondela Serikali imewataka wakulima na wafugaji wanaofanya shughuli zao kwenye maeneo wasiyoruhusiwa, kuondoka mara moja na kuwataka wafuate sheria, taratibu na kanuni za nchi ambapo wakulima na wafugaji wanatakiwa kuwa kwenye maeneo waliyotengewa kisheria bila kuingiliana. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amebainisha hayo (24.01.2021) akiwa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …

Soma zaidi »

WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI BASHE AAGIZA TAKUKURU KUANZA UCHUNGUZI UPOTEVU WA MILIONI 150 ZA AMCOS YA CHABUMAA

Naibu Waziri Kilimo Hussein Bashe  ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Chamwino kuanza mara moja uchunguzi dhidi ya Viongozi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Zabibu (CHABUMA AMCOS) katika wilaya hiyo; Waliochukua fedha kiasi cha shilingi milioni 150 ambazo zimetumika kinyume cha utaratibu. Naibu …

Soma zaidi »