WIZARA YA KILIMO

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Ushirika yaliyofanyika katika ukumbi wa BOT mkoani Mtwara, tarehe 20 Septemba 2021. Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametoa onyo kali kwa wanunuzi wa korosho kwa njia isiyo halali maarufu kama ‘Kangomba’ hali …

Soma zaidi »

WAZIRI MKENDA AZITAKA BODI NA TAASISI KUHAMASISHA TIJA NA UZALISHAJI WA MAZAO

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) amempongeza Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo Ndg Andrew Massawe kwa kuzisimamia kwa weledi mkubwa Bodi na Taasisi zilizo chini yake hivyo kuendeleza uwajibikaji kuhakikisha kuwa sekta ya kilimo inaendelea kuimarika. Amesema kuwa wananchi wana imani …

Soma zaidi »

BODI YA MAZAO MCHANGANYIKO (CPB) YAASWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO NCHINI

Waziri wa Kilimo nchini Mhe. Profesa Adolf Mkenda akipokea maelezo ya bidhaa itokanayo na zao la alizeti wakati wa sherehe ya kuzindua viwanda vya uchakataji mazao jijini Dodoma Jumatano iliyopita. Bodi ya Mazao Mchanganyiko (CPB) nchini imeaswa kufanya jitihada za ziada katika kuyaongezea thamani mazao ili kuweza kushindana na soko …

Soma zaidi »

MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU NA WANYAMA, NA YANAKIDHI VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA – BASHE

Ameandika Naibu Waziri Hussein Bashe kuhusu mahindi ya Tanzania: Salaam Ndg. zangu nataka niseme kuwa Mahindi ya Tanzania ni Salama kwa matumizi ya Binadamu na Wanyama,na yanakidhi vigezo vyote vya Kikanda na kimataifa. Biashara ni suala la hiari, wanaweza kununua au kutonunua kutoka kwetu. Kinachotusumbua sisi ni kauli ya upotoshaji …

Soma zaidi »

WANAOKWAMISHA KUAZISHWA KWA VIWANDA VINGI VYA KUCHAKATA MIWA NCHINI WAONYWA

Serikali imebaini uwepo wa mkakati wa kukwamisha kuanza kwa ujenzi wa viwanda vingi vya kuchakata miwa ya wakulima ili nchi isijitosheleze kwa uzalishaji wa sukari nchini .Hivyo imewaonya watu wenye nia hiyo pamoja na viwanda vya sukari vinavyoshiriki kukwamisha kuanzishwa kwa viwanda vingi vya kuchakata miwa kuacha mara moja njama …

Soma zaidi »