Taarifa ya Habari

RAIS MAGUFULI AKASIRISHWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA JESHI LA ZIMAMOTO

Rais Dkt. John  Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euro Milioni 408.5 (sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1) kutoka kampuni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ALITAKA JESHI LA MAGEREZA KUJITATHIMINI

Rais Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini …

Soma zaidi »

TUNAJUA WATENDAJI WAKIPATA MAKAZI BORA WATAONGEZA UFANISI KATIKA KAZI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa jitihada anazofanya kuhakikisha Maafisa na Askari wanaishi katika makazi bora na familia zao. Dkt. Mwinyi amesema hayo katika ufunguzi wa nyumba za Maafisa na Askari wa Gereza la Ukonga Jijini Dar Es Salaam, …

Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA MAGEREZA, UKONGA DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam. Novemba 29, 2016 Rais Maguli aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAZIDI KUBANA MIANYA YA WIZI WA MAPATO YA NDANI

Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato  kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo. Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati …

Soma zaidi »

BALOZI SEIF: JUKUMU LA WATOTO WA SASA NI KUSOMA KWA BIDII ILI KUENDELEZA DHANA YA MAPINDUZI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Watanzania wanapoadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lazima wale walioshuhudia wajikumbushe wakati kile Kizazi Kipya kinapaswa kusoma Historia ili kujua vyema dhamira iliyopelekea kufanywa kwa Mapinduzi hayo. Balozi Seif Ali Iddi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na …

Soma zaidi »