Taarifa ya Habari

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …

Soma zaidi »

LIVE: Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja kuhusu Matukio ya Leo hususan Ajali ya MV Nyerere iliyotokea Alhamisi 20/09/2018

• Ni kutoka TBC1- Dira ya Mchana • Shughuli za uokoaji zikiendelea • Viongozi mbalimbali wa serikali wakihojiwa love wakati wakisimamia zoezi la uokoaji na kuratibu shughuli ya uokoaji. Tazama matangazo haya kwa kufungua link hii TUNATOA POLE SANA KWA WATANZANIA WENZETU KWA MSIBA HUU MSITO.

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Soma zaidi »