Taarifa ya Habari

TANZANIA NA NAMIBIA ZAJIDHATITI KUKUZA SEKTA YA BIASHARA

Serikali ya Tanzania na ya Namibia zajidhatiti kukuza na kuendeleza kiwango cha biashara na uchumi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kati ya mataifa hayo. Makubaliano hayo yamefikiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wizara …

Soma zaidi »

TANZANIA NA NAMIBIA WAJADILIANA KUHUSU SACREEE

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na Naibu Waziri wa Nishati wa Namibia, Kornelia Shilunga pamoja na ujumbe wake, wamekutana na kujadili kwa pamoja kuhusu Kituo cha Nishati Jadidifu na matumizi bora ya Nishati cha nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SACREEE). Mgalu alikutana na ujumbe huo, Desemba 2, 2019, uliofika …

Soma zaidi »

SERIKALI NA WIZARA YA MADINI KUSAINI MKATABA WA UTENDAJI KAZI

Mafunzo ya  Mkataba wa Utendaji Kazi kwa Serikali na Taasisi za umma yameanza kufanyika kwa viongozi waandamizi wa wizara ya Madini, wakuu wa idara na vitengo na maafisa bajeti wa kila idara na kitengo kuhudhuria mafunzo hayo yanayotolewa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora …

Soma zaidi »

TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE KWA WANANCHI

Serikali kupitia Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imenunua na kusimika mashine mbili za kisasa za huduma ya uchunguzi na tiba za kutibu saratani aina ya LINA na CT Simulator zenye thamani ya Tsh Bilioni 9.5/-  hatua inayolenga kupunguza muda wa kusubiri tiba mionzi kutoka wiki sita hadi kufikia wiki …

Soma zaidi »

MATUMIZI YA NISHATI MBADALA NI KITU CHA MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA – WAZIRI SIMBACHAWENE

Matumizi ya nishati ya kuaminika na endelevu ni kitu kisichoepukika kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na kwa Taifa lolote duniani hasa tunapoelekea kufikia lengo la Uchumi wa Viwanda ifikapo mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. George Simbachawene alipokua akizindua …

Soma zaidi »

DOKTA KIJAJI AKITAKA CHUO CHA MIPANGO KUFANYA UTAFITI WA UMASIKINI NA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMMA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kutafiti kwa kina namna wananchi wanavyoweza kuondokana na umasikini wa kipato pamoja namna Miradi mbalimbali ya Serikali inavyoweza kutekelezwa kwa ufanisi na kwa kuzingatia thamani ya fedha kuliko ilivyo sasa. Dkt. Kijaji ametoa rai …

Soma zaidi »

KITUO CHA AFYA KOME KUPATIWA X-RAY YA KIDIGITALI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameahidi kuwapatia mashine ya x-ray ya kisasa ya kidigitali kituo cha afya kome kilichopo halmashauri ya Buchosha wilayani Sengerema. Waziri Ummy ametoa ahadi hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi kisiwani hapo ya kujionea hali ya utoaji huduma za …

Soma zaidi »